RAIS DKT. SAMIA AASILI MTOTO GRACE SAMIA SULUHU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 11 March 2026

RAIS DKT. SAMIA AASILI MTOTO GRACE SAMIA SULUHU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpokea nyaraka za mtoto Grace Samia Suluhu kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitapwaki Tukai tarehe 11Machi, 2026 Ikulu ya Chamwino,Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpokea mtoto Grace Samia Suluhu kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitapwaki Tukai tarehe 11Machi, 2026 Ikulu ya Chamwino,Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mtoto Grace Samia Suluhu aliyemuasili tarehe 11 Machi, 2026 Ikulu ya Chamwino,Dodoma.

No comments:

Post a Comment