![]() |
| Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benkiy a NMB, Ruth Zaipuna. |
Kuna ndoto nyingi za wanawake Tanzania, na sasa NMB JASIRI imezinduliwa rasmi kuzifungua.
Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benkiy a NMB, Ruth Zaipuna, anawakaribisha kwenye Kochi la Jasiri, Kochi la Orange - nafasi ya kuzungumza, kushirikishana elimu ya fedha na kufungua fursa za kukuza biashara.
Karibu JASIRI. Karibu Tuyajenge.


No comments:
Post a Comment