MGOMBEA NAFASI YA RAIS CCM DKT. SAMIA AHUTUBIA WANANCHI ZANZIBAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 24 October 2025

MGOMBEA NAFASI YA RAIS CCM DKT. SAMIA AHUTUBIA WANANCHI ZANZIBAR

Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 24 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Zanzibar katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM zilizofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 24 Oktoba, 2025.

Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 24 Oktoba, 2025.

Shamra shamra wakati akiwasili Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Mnazi mmoja, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 24 Oktoba, 2025.

No comments:

Post a Comment