![]() |
| Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025. |

| Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia wananchi wa Mkoa wa Mtwara. |

.jpeg)

No comments:
Post a Comment