KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MHANDISI LUHEMEJA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOJI MABWEPANDE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 25 September 2025

KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MHANDISI LUHEMEJA ATEMBELEA KIWANDA CHA MBOJI MABWEPANDE

 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja (katikati) akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Taka na Usafi wa Mazingira, Manispaa ya Kinondoni Bw. Shedrack Maximilian alipokuwa kwenye ziara ya kikazi Kiwanda cha Mboji Mabwepande jijini Dar es Salaam, Septemba 23, 2025.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja akielezea jambo wakati wa ziara yake ya kikazi Kiwanda cha Mboji Mabwepande Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Septemba 23, 2025.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja (katikati) akiwa katika ziara yake ya kikazi Kiwanda cha Mboji Mabwepande Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Septemba 23, 2025.

No comments:

Post a Comment