SALUM MWALIMU WA CHAUMA ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 12 August 2025

SALUM MWALIMU WA CHAUMA ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC

 


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Mhe. Salum Mwalimu. Mgombea huyo aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Devotha Mathew Minja leo Agosti 12, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Mhe. Salum Mwalimu. Mgombea huyo aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Devotha Mathew Minja (kushoto) amechukua fomu hizo leo Agosti 12, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

No comments:

Post a Comment