RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI KONGAMANO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 JIJINI DAR - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 26 August 2025

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI KONGAMANO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025 JIJINI DAR

Matukio mbalimbali kwenye Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA) katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Agosti, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Agosti, 2025 kwa ajili ya kushiriki kwenye Kongamano la Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Umoja wa Maimamu Tanzania (UMATA).

No comments:

Post a Comment