MPINA WA ACT WAZALENDO ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 15 August 2025

MPINA WA ACT WAZALENDO ACHUKUA FOMU ZA UTEUZI INEC KUWANIA KITI CHA RAIS

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT - WAZALENDO), Mhe. Luhaga Joelson Mpina. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej (kushoto) alichukua fomu hizo leo Agosti 15, 2025 ambapo Tume inataraji kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. (Picha na INEC).

No comments:

Post a Comment