DKT. JAFO: WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUWENI MABALOZI WA AMANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 17 August 2025

DKT. JAFO: WAFANYABIASHARA KARIAKOO KUWENI MABALOZI WA AMANI

 

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amewataka wafanyabiashara wa Soko la kimataifa la Kariakoo kuwa mabalozi wa amani ili biashara zifanyike kwa utulivu na usalama kipindi hiki nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu, kauli aliyoitoa leo Agosti 15 ,2025 wakati akifungua tamasha la Gulio la Kariakoo, Dar es Salaam.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo akiwa kwenye picha ya pamoja na wakuu wa taasisi za umma zinazohusika na usimamizi na uratibu wa wafanyabiashara nchini leo wakati wa uzinduzi wa tamasha la Gulio la Kariakoo jijini Dar es Salaam leo Agosti 15,2025.

No comments:

Post a Comment