Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na
mgeni wake Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili
katika Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM kilichopo Nala Jijini Dodoma tarehe 28
Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisogeza kitambaa pamoja na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM kilichopo Nala Jijini Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Matukio mbalimbali katika ufunguzi wa Kiwanda cha mbolea cha ITRACOM kilichopo Nala Jijini Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.















No comments:
Post a Comment