Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akivuta kitambaa kuashiria
ufunguzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo
tarehe 16 Juni, 2025.Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akikata utepe kuashiria ufunguzi
wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16
Juni, 2025.
Muonekano wa Majengo
ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu mara baada ya kufunguliwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu, Bariadi mkoani Simiyu
tarehe 16 Juni, 2025.
Muonekano wa Majengo ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu, Bariadi mkoani Simiyu tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo ya shule hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana
Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akipata maelezo alipotembelea Shule hiyo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua
Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16
Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua
Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16
Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akizungumza mara baada ya kufungua
Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16
Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo tarehe 16 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akiwa kwenye picha ya pamoja na
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Simiyu iliyopo Bariadi mkoani humo
tarehe 16 Juni, 2025.










No comments:
Post a Comment