RAIS DKT. SAMIA AMKARIBISHA MGENI WAKE RAIS WA MSUMBIJI MHE. DANIEL FRANCISCO, IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 8 May 2025

RAIS DKT. SAMIA AMKARIBISHA MGENI WAKE RAIS WA MSUMBIJI MHE. DANIEL FRANCISCO, IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo wakati wa utiaji saini Mikataba na Hati za Makubaliano Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo rasmi na ujumbe wa Msumbiji ulioongozwa na Rais wa Nchi hiyo Mhe. Daniel Francisco Chapo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo akisaini kitabu cha Wageni Maalum mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.

No comments:

Post a Comment