Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja
na viongozi mbalimbali kwenye Mkutano Maalum wa Chama hicho uliofanyika katika
ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 29 Mei,2025.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) na Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia
kabla ya kufungua Mkutano Maalum wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa
Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini Dodoma tarehe 29 Mei,2025.
Shamra
shamra za Mkutano Maalum wa Chama
cha Mapinduzi (CCM) Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini
Dodoma tarehe 29 Mei,2025.
Shamra
shamra za Mkutano Maalum wa Chama
cha Mapinduzi (CCM) Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini
Dodoma tarehe 29 Mei,2025.
Shamra
shamra za Mkutano Maalum wa Chama
cha Mapinduzi (CCM) Taifa uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete (JKCC) Jijini
Dodoma tarehe 29 Mei,2025.
CWT YAIMARISHA UTETEZI NA HUDUMA KWA WALIMU
-
Na Belinda Joseph – Dodoma
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimesema kinaendelea kuimarisha huduma za
utetezi kwa wanachama wake, ikiwemo kuwapatia msaada w...
3 hours ago













No comments:
Post a Comment