Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Bw. Filbert Mponzi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Bima ya Vikundi Kidijitali ya Benki ya NMB na ikishirikiana na Kampuni ya Metrolife Assurance uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Wadau wa benki ya NMB wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dk. Baghayo A. Saqware (wa pili kusho) pamoja na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara, Bw. Filbert Mponzi (wa tatu kulia) wakizinduwa rasmi Kampeni ya Bima ya Vikundi Kidijitali ya Benki ya NMB kwa kushirikiana na Kampuni ya Metrolife Assurance uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Idara ya Bima wa Benki ya NMB, Martin Masawe (kushoto) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Metrolife Assurance, Bw. Amani Boma (wa pili kulia) na Meneja Mwandamizi wa Bima Benki ya NMB, Bi. Catherine Joshua wakishuhudia.

No comments:
Post a Comment