KATIBU TAWALA MKOA WA KATAVI, AHITIMISHA MAADHIMISHO YA JUMA LA ELIMU KITAIFA (GAWE) 2025 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 10 May 2025

KATIBU TAWALA MKOA WA KATAVI, AHITIMISHA MAADHIMISHO YA JUMA LA ELIMU KITAIFA (GAWE) 2025

 

Mgeni Rasmi, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela akizungumza kwenye kilele cha  Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanafanyika kitaifa mkoani Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe. 

Mgeni Rasmi, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela akifafanua jambo kwenye kilele cha  Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanafanyika kitaifa mkoani Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe. 

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Simon Nanyaro (kushoto) akikabidhi hotuba ya wadau wa elimu kwa Mgeni Rasmi, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela (wa pili kulia), ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanafanyika kitaifa mkoani Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe.

Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Simon Nanyaro akizungumza na wadau wa elimu kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yaliyofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.


Mgeni Rasmi, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela (wa pili kulia) kikabidhi zawadi kwa walimu waliofanya vizuri katika ufundishaji kwenye shule zao, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanafanyika kitaifa mkoani Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe. Wa kwanza kulia  ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania, Bw. Simon Nanyaro.

Mgeni Rasmi, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela (wa pili kulia) kikabidhi zawadi kwa walimu waliofanya vizuri katika ufundishaji kwenye shule zao, ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanafanyika kitaifa mkoani Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe. Wa kwanza kulia  ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania, Bw. Simon Nanyaro.


Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Simon Nanyaro akisoma hotuba ya wadau wa elimu kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yaliyofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Mratibu Taifa wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala akizungumza na wadau wa elimu kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yaliyofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe.

Mgeni Rasmi, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela akitembelea mabanda mbalimbali ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanafanyika kitaifa mkoani Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe.

Mgeni Rasmi, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela akitembelea mabanda mbalimbali ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanafanyika kitaifa mkoani Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe.

Afisa Mawasiliano na uchechemuzi kutoka Uwezo Tanzania, Bi. Brenda Thomas (kulia) akimkabidhi Mgeni Rasmi, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela baadhi ya machapisho ya Uwezo Tanzania kwenye kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025.

Afisa Mawasiliano na uchechemuzi kutoka Uwezo Tanzania, Bi. Brenda Thomas akieleza kwa Mgeni Rasmi, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela namna taasisi hiyo ilivyoshiriki katika maadhimisho hayo.

Bi. Devota Lyimo (kulia) kutoka Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kigamboni (KTO) akimkabidhi zawadi ya mpira unaotengenezwa na chuo hicho kwa Mgeni Rasmi, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela mara baada ya kulitembelea banda la chuo hicho.

Mgeni Rasmi, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, Katibu Tawala wa Mkoa wa Katavi, Bw. Albert Msovela (kulia) akitembelea mabanda mbalimbali ya wadau wa elimu ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanafanyika kitaifa mkoani Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe.

Bi. Devota Lyimo (kulia) kutoka Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kigamboni (KTO) akifafanua jambo kwa wageni waliotembelea banda la chuo hicho, katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, mkoani Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe.

Sehemu ya wananchi wakipata huduma kwenye Banda la Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kigamboni (KTO), katika hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa (GAWE) 2025, mkoani Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe.

Afisa Programu wa Room to Read Tanzania, Bi. Raehel Mbushi (kushoto) akimwelezea mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Room to Read kwenye kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yaliyofanyika katika Halmashauri ya Mpimbwe.

Afisa Programu wa Room to Read Tanzania, Bi. Raehel Mbushi (kushoto) akigawa vitabu kwa wanafunzi wa shule za msingi waliokuwa wakijisomea vitabu mbalimbali ndani ya Banda la Room to Read Tanzania kwenye kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, katika Halmashauri ya Mpimbwe.

Baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi wakijisomea vitabu mbalimbali ndani ya Banda la Room to Read Tanzania kwenye kilele cha Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, katika Halmashauri ya Mpimbwe.

No comments:

Post a Comment