DK.MWINYI AWASILI DODOMA KUSHIRIKI MKUTANO MAALUMU WA CCM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 26 May 2025

DK.MWINYI AWASILI DODOMA KUSHIRIKI MKUTANO MAALUMU WA CCM

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi alipowasili Jijini Dodoma kushiriki Vikao vya kikatiba vya Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Taifa .

Katika uwanja wa ndege wa Dodoma amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Rosemary Senyamule na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyombo vya ulinzi na usalama wa Mkoa huo.

No comments:

Post a Comment