MHE.JERRY SILAA ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA AKILI UNDE, RWANDA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Thursday, 3 April 2025

demo-image

MHE.JERRY SILAA ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA KIMATAIFA WA AKILI UNDE, RWANDA

0B9A8117

0B9A8159

WAZIRI Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry Silaa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Bw. Kundwe Moses Mwasaga, Machi 03, 2025 wameshiriki katika kikao cha mawaziri kuhusu matumizi ya Akili Unde ambacho kimefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kigali jijini Kigali, nchini Rwanda.

Kikao hicho kimeratibiwa na Taasisi ya Tony Blair (Tony Blair Institute for Global Change - TBI) ambacho kimejikita katika kubainishi namna Akili Unde inavyoweza kutumika na inavyotumika katika maeneo mbalimbali na kuleta ufanisi katika Sekta ya Umma barani Afrika.

Kikao hicho ni sehemu ya Mkutano wa Kimataifa wa Akili Unde Barani Afrika unaondelea nchini Rwanda kuanzia Aprili 3-4, 2025.
Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *