MHE. DKT. NCHEMBA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA AfG1-IMF - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 22 April 2025

MHE. DKT. NCHEMBA ATETA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA AfG1-IMF

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Adran Ubisse, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo kando ya Mikutano ya Majira ya Kipupwe ya IMF na Benki ya Dunia, inayofanyika Jijini Washington D.C, nchini Marekani, ambapo pamoja na mambo mengine wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano katika ya Tanzania na Shirika hilo.

No comments:

Post a Comment