RAIS DKT. SAMIA AZINDUA SERA YA TAIFA YA ARDHI NA MFUMO WA E-ARDHI - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Monday, 17 March 2025

demo-image

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA SERA YA TAIFA YA ARDHI NA MFUMO WA E-ARDHI

 

04
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa ufunguo Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi mara baada ya kuzindua ugawaji wa magari pamoja na vitendea kazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.


013a

013

012
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua mfumo wa e-Ardhi kwa ajili ya utoaji wa Hati kwa njia ya kidigitali  katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.

011d
Matukio mbalimbali kwenye hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.

011c
Matukio mbalimbali kwenye hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.

011c....
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kuzindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi tarehe 17 Machi, 2025.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *