RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA BARAZA LA EID EL FITR LILILOFANYIKA DAR - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Monday, 31 March 2025

demo-image

RAIS DKT. SAMIA AHUTUBIA BARAZA LA EID EL FITR LILILOFANYIKA DAR

04..%20(3)
Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakar Zubeir Bin Ally akizungumza kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.

03..............
Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.

03..%20(2)

02...

02......
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wageni mbalimbali kwenye Baraza la Eid El Fitr ambalo Kitaifa limefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 31 Machi, 2025.

02........

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *