DKT. SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI WA SIASA, SERIKALI, DINI NA MAKUNDI MAALUM IKULU NDOGO YA TUNGUU, ZANZIBAR - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 20 March 2025

DKT. SAMIA AFUTURISHA VIONGOZI WA SIASA, SERIKALI, DINI NA MAKUNDI MAALUM IKULU NDOGO YA TUNGUU, ZANZIBAR

Viongozi wa dini, wazee wa mkoa wa Kusini Unguja, wageni kutoka Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 20 Machi, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kwenye Iftar aliyowaandalia Viongozi wa siasa, serikali, dini na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 20 Machi, 2025.

No comments:

Post a Comment