RAIS DKT. SAMIA AZINDUA RASMI HUDUMA ZA USAFIRI WA TRENI YA KISASA (SGR) KUTOKA DAR – MORO HADI DODOMA, ENEO LA STESHENI JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 1 August 2024

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA RASMI HUDUMA ZA USAFIRI WA TRENI YA KISASA (SGR) KUTOKA DAR – MORO HADI DODOMA, ENEO LA STESHENI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua safari za Treni ya Kisasa  (SGR) kuanzia eneo la Stesheni Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam hadi Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Pugu Jijini Dare es Salaam wakati akielekea Dodoma kwa Usafiri wa Treni ya Kisasa ya (SGR). Mhe. Rais Dkt. Samia amezindua Rasmi huduma za Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) kuanzia eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam- Morogoro hadi Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na abiria mbalimbali waliokuwa wakisafiri na Treni ya Kisasa ya Umeme (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma mara baada ya uzinduzi katika eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa safarini Morogoro mara baada ya kuzindua treni ya SGR.

Sehemu ya wananchi waliojitokeza kushuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua safari za Treni ya Kisasa  (SGR) kuanzia eneo la Stesheni Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam hadi Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu Bendera na kushusha chini (Flag off) kuashiria uzinduzi rasmi  wa safari za Treni ya Kisasa ya Umeme (SGR) katika eneo la Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam hadi Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea eneo la Stesheni Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuzindua safari za Treni ya Kisasa  (SGR) kuelekea Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Mkoani Morogoro kwa Treni ya Kisasa (SGR) tarehe 01 Agosti, 2024. Mhe. Rais Dkt. Samia amezindua rasmi huduma za Usafiri wa Treni hiyo kuanzia eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam - Morogoro hadi Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Morogoro katika eneo la Stesheni ya Morogoro wakati akielekea Dodoma kwa Usafiri wa Treni ya Kisasa ya (SGR). Mhe. Rais Dkt. Samia amezindua rasmi huduma za Usafiri wa Treni hiyo kuanzia eneo la Kilometa 0 Stesheni Jijini Dar es Salaam - Morogoro hadi Dodoma tarehe 01 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye Treni ya Kisasa (SGR) katika Stesheni ya Ngerengere Mkoani Morogoro tarehe 01 Agosti, 2024.

Wananchi waliojitokeza kushuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua safari za Treni ya Kisasa  (SGR) kuanzia eneo la Stesheni Kilometa 0 Jijini Dar es Salaam hadi Dodoma.

No comments:

Post a Comment