RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA YA GAIRO NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 2 August 2024

RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA YA GAIRO NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya ya Gairo mara baada ya kuanza ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Wananchi wa Gairo wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Shamrashamra za Wananchi wa Gairo mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Wilaya hiyo kwa ajili ya kuwahutubia tarehe 02 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Mkazi wa Gairo Melina Yustino Mkasanga ambaye amejifungua mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Shamrashamra za Wananchi wa Gairo mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Wilaya hiyo kwa ajili ya kuwahutubia tarehe 02 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Mkazi wa Gairo Melina Yustino Mkasanga ambaye amejifungua mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Shamrashamra za Wananchi wa Gairo mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Wilaya hiyo kwa ajili ya kuwahutubia tarehe 02 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya ya Gairo mara baada ya kuanza ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Miundombinu ya Hospitali ya Wilaya ya Gairo ambayo imezinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Gairo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Gairo Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024. Mhe. Rais Samia ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani Morogoro ambapo atazindua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

No comments:

Post a Comment