RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, MAKUNDUCHI KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 20 August 2024

RAIS DKT. SAMIA AFUNGUA SKULI YA MAANDALIZI DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, MAKUNDUCHI KUSINI UNGUJA, ZANZIBAR

 

Kikundi cha burudani kikitumbuiza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan katika shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Makunduchi, Shehia ya Tasani Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Makunduchi, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

Muonekano wa Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Madarasa mara baada ya ufunguzi wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

Muonekano wa Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Madarasa mara baada ya ufunguzi wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan katika shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Makunduchi, Shehia ya Tasani Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya Madarasa  mara baada ya kufungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kufungua Skuli ya Maandalizi Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi katika eneo la Makunduchi, Shehia ya Tasani Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 20 Agosti, 2024.

No comments:

Post a Comment