RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 25 March 2024

RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 24 Machi, 2024.

Baadhi ya Mawaziri wakipitia makabrasha na nyaraka mbalimbali wakati wa Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 24 Machi, 24.

No comments:

Post a Comment