RAIS SAMIA ATUNUKIWA NISHANI YA MAPINDUZI YA VIONGOZI WENYE SIFA ZA KIPEKEE (ORDER OF PRAISE) NA RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI, IKULU ZANZIBAR - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 11 January 2024

RAIS SAMIA ATUNUKIWA NISHANI YA MAPINDUZI YA VIONGOZI WENYE SIFA ZA KIPEKEE (ORDER OF PRAISE) NA RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI, IKULU ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Utoaji wa Nishani iliyofanyika kwenye viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi mara baada ya kutunukiwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise) katika kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivalishwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024. Rais Samia ametunukiwa Nishani hiyo katika kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.

No comments:

Post a Comment