RAIS SAMIA AHUDHURIA IBADA MAALUM YA KUMUINGIZA KAZINI MKUU WA KANISA LA KKKT, ASKOFU DK. MALASUSA DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 22 January 2024

RAIS SAMIA AHUDHURIA IBADA MAALUM YA KUMUINGIZA KAZINI MKUU WA KANISA LA KKKT, ASKOFU DK. MALASUSA DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuingizwa kazini wakati wa Ibada Maalum iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Ibada Maalum  ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2023.

Wachungaji, wageni mbalimbali pamoja na Washarika wa Kanisa Kuu la Azania Front wakishiriki Ibada Maalum ya Kumuingiza Kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa katika Kanisa hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2023.

No comments:

Post a Comment