RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA CDF NA MAKAMANDA KWA MWAKA 2023 UNAOFANYIKA LUGALO JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 22 January 2024

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA CDF NA MAKAMANDA KWA MWAKA 2023 UNAOFANYIKA LUGALO JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax mara baada ya kuwasili Lugalo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufungua mkutano wa CDF na Makamanda kwa mwaka 2023, tarehe 22 Januari, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati akifungua mkutano wa CDF na Makamanda uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.

Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiimba Wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa mkutano wa CDF na Makamanda uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Januari, 2024.

No comments:

Post a Comment