Tangi kubwa lenye ujazo wa lita 300,000 likiwa limejengwa katika Kijiji cha Kizonzo kama sehemu ya mradi wa Maji kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya Mji wa Shelui tarehe 17 Oktoba, 2023. |
Wananchi wa Kijiji cha Kizonzo wakiwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa mradi wa Maji kutoka Ziwa Victoria kwa ajili ya Mji wa Shelui tarehe 17 Oktoba, 2023. |
No comments:
Post a Comment