RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKALAMA MKOANI SINGIDA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 17 October 2023

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKALAMA MKOANI SINGIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mkalama mara baada ya kufungua Rasmi Daraja la Msingi Mkoani Singida tarehe 16 Oktoba, 2023.

Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika eneo la Mkutano wa hadhara pembezoni mwa Daraja la Msingi, Wilayani Mkalama katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Singida tarehe 16 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa mara baada ya kufungua Rasmi Daraja la Msingi lililopo Mkalama Mkoani Singida tarehe 16 Oktoba, 2023.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wageni waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Daraja la Msingi lililopo Mkalama Mkoani Singida tarehe 16 Oktoba, 2023.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wageni waliohudhuria hafla ya ufunguzi wa Daraja la Msingi lililopo Mkalama Mkoani Singida tarehe 16 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mkalama mara baada ya kufungua Rasmi Daraja la Msingi Mkoani Singida tarehe 16 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Mkalama mara baada ya kufungua Rasmi Daraja la Msingi Mkoani Singida tarehe 16 Oktoba, 2023.

No comments:

Post a Comment