RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MKOA WA SINGIDA KATIKA UWANJA WA BOMBADIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 17 October 2023

RAIS SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MKOA WA SINGIDA KATIKA UWANJA WA BOMBADIA

Viongozi mbalimbali wa Serikali, Mkoa, Wabunge pamoja na Chama wakikata na kulishana Keki wakati wa Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa wa Singida yaliyofanyika katika uwanja wa Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023.

Kwaya ya Utumishi wa Umma ikitumbuiza kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa wa Singida yaliyofanyika katika uwanja wa Bombadia tarehe 16 Oktoba, 2023.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wakiwa kwenye uwanja wa Bombadia Mkoani Singida kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mkoa huo tarehe 16 Oktoba, 2023.

Machifu wakiwa kwenye uwanja wa Bombadia Mkoani Singida kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika muendelezo wa ziara yake mkoani humo tarehe 16 Oktoba, 2023.

No comments:

Post a Comment