MKUU WA CHUO KIKUU UDSM RAIS MSTAAFU KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 53 YA DURU LA PILI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday 18 October 2023

MKUU WA CHUO KIKUU UDSM RAIS MSTAAFU KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 53 YA DURU LA PILI

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na meza kuu wakiwa katika picha ya kumbukumbu na wahitimu wenye mahitaji maalumu (waliosimama nyuma ni wahitimu walemavu wa kusikia na kulia kwa Dkt. Kikwete ni mlemavu wa miguu) katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam Jumanne Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi Nicholaus Luhanga aliyepata kuwa Makamu Mkuu wa Chuo hicho (1980-1988) walipokuwa  katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho Balozi Mwanaidi Sinare Maajar katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na meza kuu wakiwa katika picha ya kumbukumbu na wahitimu wenye mahitaji maalumu (waliosimama nyuma ni wahitimu walemavu wa kusikia na kulia kwa Dkt. Kikwete ni mlemavu wa miguu) katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2023.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuwapatia vyeti  Elizabeth B. Kway na  Placidi Leonardi Lala, wahitimu wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza kwa wakia (GPA) ya 4.8 ambao ni ufaulu wa juu kupita wahitimu wote 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho  yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2023. Bi. Kway amefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi katika Sayansi za Takwimu Bima (Bachelor of Science in Acturial Sciences) wakati Bw. Lala amefuzu Digrii ya Awali ya Elimu Jamii katika Muziki (Bachelor of Arts in Music).

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti  Bw. Placidi Leonardi Lala mmoja wa wanafunzi wahitimu wawili wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza kwa wakia (GPA) ya 4.8 ambao ni ufaulu wa juu kupita wahitimu wote 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho  yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2023. Bw. Lala amefuzu Digrii ya Awali ya Elimu Jamii katika Muziki (Bachelor of Arts in Music)

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuwapatia vyeti  Elizabeth B. Kway na Placidi Leonardi Lala, wahitimu wa shahada ya awali ambao wamefaulu daraja la kwanza kwa wakia (GPA) ya 4.8 ambao ni ufaulu wa juu kupita wahitimu wote 2796 katika Mahafali ya 53 ya duru la pili la chuo hicho yaliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2023. Bi. Kway amefuzu Digrii ya Awali ya Sayansi katika Sayansi za Takwimu Bima (Bachelor of Science in Acturial Sciences) wakati Bw. Lala amefuzu Digrii ya Awali ya Elimu Jamii katika Muziki (Bachelor of Arts in Music).

No comments:

Post a Comment