RAIS SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI MKOANI MTWARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 16 September 2023

RAIS SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA KUSINI MKOANI MTWARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Vyumba mbalimbali vya uchunguzi na kutolea huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti kama ishara ya kumbukumbu mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi mara baada ya kufungua barabara ya Mtwara- Newala-Masasi sehemu ya Mtwara Mnivata km 50 tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akizindua mradi wa chujio la maji Mangamba Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini Herbert Masigati funguo za Magari ya Wagonjwa mara baada ya uzinduzi uliofanyika Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akizindua mradi wa chujio la maji Mangamba Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa wakati akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Barabara ya Mtwara- Newala-Masasi sehemu ya Mtwara Mnivata km 50 tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Vyumba mbalimbali vya uchunguzi na kutolea huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Msanifu Majengo kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi Saul Nkini kuhusiana na hatua mbalimbali za Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.

No comments:

Post a Comment