Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Hadija Ally Kinyaka kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Hussein Salum Mtembwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Emmanuel Ludovick Kawishe kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Dkt. Dafina Daniel Ndumbaro kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Ntuli Lutengano Mwakahesya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Ntuli Lutengano Mwakahesya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Sarah Duncan Mwaipopo kuwa Jaji wa Mahakama Kuu kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Lameck Michael Mlacha kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Profesa Kennedy Godfrey Gastorn kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Stephen Patrick Mbundi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (atayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Septemba, 2023.
NAIBU WAZIRI WA ELIMU ATEMBELEA NIT.MSAADA MKUU
-
*NA DUNSTAN MHILU*
*NAIBU* Waziri wizara ya Elimu ya Juu Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidhi
Ameir amesema amelidhishwa na utekelezaji wa miradi ya miund...
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 3, 2025
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania March 3, 2025,nakukaribisha
kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini
ke...
No comments:
Post a Comment