KATIBU MKUU UJENZI, ATEMBELEA UWANJA WA NDEGE MSALATO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 5 June 2023

KATIBU MKUU UJENZI, ATEMBELEA UWANJA WA NDEGE MSALATO

 

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Balozi Aisha Amour akitoa maelekezo kwa Mshauri elekezi wa Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, Mhandisi Shegan Berharie, wakati Katibu Mkuu huyo alipokuwa akikagua maendeleo ya mradi huo, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment