WADAU JUMA LA ELIMU 2023 WASHIRIKI UJENZI BWENI LA WANAFUNZI WENYE ULEMEVU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 19 April 2023

WADAU JUMA LA ELIMU 2023 WASHIRIKI UJENZI BWENI LA WANAFUNZI WENYE ULEMEVU

 

Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Ochola Wayoga (kushoto mbele) akiwaongoza washiriki wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa na wadau wengine wa elimu kusaidia shughuli za ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.


Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Juma la Elimu Kitaifa, ambaye pia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Uwezo Tanzania, Ndugu Greyson Mgoi (mwenye chepe) akishiriki kusaidia ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.


Washiriki wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa na pamoja na wadau wengine wa elimu wakisaidia shughuli za ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.

Baadhi ya washiriki wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa na pamoja na wadau wengine wa elimu wakisaidia shughuli za ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.

Sehemu ya washiriki wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa na pamoja na wadau wengine wa elimu wakisaidia shughuli za ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.


Sehemu ya washiriki wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa na pamoja na wadau wengine wa elimu wakisaidia kujaza kifusi katika ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.

Sehemu ya washiriki wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa na pamoja na wadau wengine wa elimu wakisaidia shughuli za ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.

Muonekano eneo la msingi kwenye ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.

Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bw. Ochola Wayoga (kushoto mbele) pamoja na wadau wengine wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa wakishiriki shughuli za ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro. Wadau hao wa elimu wamefanya shughuli hizo ikiwa ni kuchochea ushiriki wa jamii zima katika kutatua changamoto za elimu katika maeneo yao.

Baadhi ya washiriki hao wakipambana kujaza kifusi kwenye eneo la msingi kwenye ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.

Shughuli za ujazaji kifusi ikiendelea inayofanywa na wadau wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa kwenye ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.

Sehemu ya wadau wa Maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa wakishiriki shughuli za ujenzi wa bweni la wanafunzi wenye ulemevu katika Shule ya Msingi Mvuha, Mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment