DKT. TAX AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MSUMBIJI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday, 14 April 2023

DKT. TAX AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MSUMBIJI

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Joaquim Chisano akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax aliyefika kumsalimia. Mhe Chisano yuko nchini kwa mwaliko wa kushiriki utoaji wa Tuzo za Taifa za Uandishi Bunifu za Mwl. Nyerere uliyofanyika  tarehe 13 Aprili, 2023.

No comments:

Post a Comment