RAIS WA ZANZIBAR.DK. MWINYI AKIZUNGUMZA NA BALOZI WA URUSI NCHINI TANZANIA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 1 February 2023

RAIS WA ZANZIBAR.DK. MWINYI AKIZUNGUMZA NA BALOZI WA URUSI NCHINI TANZANIA

 

RAIS wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe.Andrey Avetisyan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 1-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe.Andrey  Avetisyan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 1-2-2023. mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar  mgeni wake Balozi wa Urusi Nchini Tanzania.Mhe. Andrey Avetisyan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar  leo 1-2-2023, alipofika kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha.

No comments:

Post a Comment