BENKI YA NMB ILIVYOSHIRIKI KILELE CHA WIKI YA SHERIA NCHINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday 1 February 2023

BENKI YA NMB ILIVYOSHIRIKI KILELE CHA WIKI YA SHERIA NCHINI

Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda ya Kati NMB, Nsolo Mlozi akisalimiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi.

Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda ya Kati NMB, Nsolo Mlozi akisalimiana na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Prof. Edward Hosea

Benki ya NMB imeshiriki kilele cha wiki ya Sheria nchini iliyomalizika jijini Dodoma. Pichani, Meneja wa Kanda ya Kati NMB, Nsolo Mlozi akisalimiana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji Dkt. Eliezer Feleshi.

No comments:

Post a Comment