PROF. MBARAWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA UKARABATI MV. MAGOGONI DAR - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Thursday, 16 February 2023

demo-image

PROF. MBARAWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA UKARABATI MV. MAGOGONI DAR

JF7A0322-
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (katikati) akishuhudia tukio la utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV. Magogoni, kati ya Meneja Mkuu wa Kampuni ya African Marine, Bw. Sabareesan Asokan (wa kwanza kulia) na Mtendaji Mkuu wa TEMESA, Bw. Lazaro N. Kilahala, kampuni hiyo kutoka nchini Kenya ndiyo iliyoshinda tenda ya ukarabati wa kivuko hicho. Kushoto ni wanasheria wa pande zote mbili wakishuhudia.
JF7A0412
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza kwenye hafla ya Utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV. Magogoni, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
JF7A0287
Baadhi ya wanachi na wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla ya Utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV. Magogoni, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
JF7A0295
Mtendaji Mkuu wa TEMESA, Bw. Lazaro N. Kilahala akizungumza kwenye hafla ya Utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV. Magogoni, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
JF7A0480
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akizungumza na wanahabari mara baada ya kushuhudia hafla ya utiaji Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV. Magogoni, iliyofanyika Kivukoni leo jijini Dar es Salaam.
JF7A0355
Mbunge wa Ilala na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Zungu akizungumza kwenye hafla ya Utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV. Magogoni, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
JF7A0526
Muonekano wa Kivuko cha MV. Magogoni kinachotarajiwa kwenda kukarabatiwa na Kampuni ya African Marine ya nchini Kenya baada ya kushinda tenda ya kukarabati kivuko hicho.
JF7A0272
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye hafla ya Utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV. Magogoni, iliyofanyika Kivukoni leo jijini Dar es Salaam.
Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *