![]() |
Wafanyakazi wa Benki ya NMB kutoka matawi ya Zanzibar pamoja na wafanyakazi wa Baraza la Udhibiti la Mifumo wa utoaji Leseni (BLRC) Zanzibar wakifanya usafi Kwenye viwanja vya Maisara. |

KATIKA kusherekea maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar, wafanyakazi wa Benki ya NMB kutoka matawi ya Zanzibar wameungana na Baraza la Udhibiti la Mifumo wa utoaji Leseni (BLRC) Zanzibar kufanya usafi Kwenye viwanja vya Maisara.
Hii ikiwa ni ushiriki wao kwenye shughuli mbalimbali za kijamii zilizopangwa na serikali katika kuadhimisha sikukuu ya Mapinduzi Zanzibar.
Benki hiyo ni mmoja wa wadhamini wa michuano ya kombe la Mapinduzi yatakayofanyika kesho uwanja wa Amaan.
No comments:
Post a Comment