RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA STAA WA FILAMU KUTOKA UINGEREZA IDRIS ELBA AMBAYE NI BALOZI WA IFAD, USWIZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday 21 January 2023

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA STAA WA FILAMU KUTOKA UINGEREZA IDRIS ELBA AMBAYE NI BALOZI WA IFAD, USWIZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani Idris Elba ambaye ni Balozi wa Hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD pamoja na Mke wake Sabrina Elba walipokuwa Davos nchini Uswizi.

Mfanyabiashara mkubwa na Mwenyekiti mwenza wa Timu ya Manchester United ya Uingereza Avie Glazer akisikiliza kwa makini wakati  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiitangaza Tanzania katika mkutano uliofanyika Davos, nchini Uswizi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi.

No comments:

Post a Comment