RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA NAFASI ZA UOUNGOZI SERIKALINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 4 January 2023

RAIS SAMIA AFANYA MABADILIKO YA NAFASI ZA UOUNGOZI SERIKALINI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Taarifa  ndogo ya mabadiliko ya nafasi za Uongozi katika Serikali ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania,  Ikulu  Jijini Dar es Salaam  tarehe 03 Januari, 2023.

No comments:

Post a Comment