![]() |
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mpya, Bi. Sophia Mjema akichukua nafasi ya Shaka Hamdu. |
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa
Daniel Chongolo - Katibu Mkuu
Ana Mringi Macha - Naibu Katibu Mkuu Bara
Naibu Katibu Mkuu Zanzibar
Said Mohamed Dimwa
Ndugu Sophia Mjema
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi
Dkt. Frank Haule
Katibu wa Uchumi na Fedha
Mbarouk Nassor Mbarouk
Mkuu wa Idara ya Kimataifa
Issa Haji Gavu
Idara ya Organaizeisheni
No comments:
Post a Comment