Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza kwenye hafla ya kupokea mabehewa 14 yatakayotumika katika Reli ya Kisasa (SGR) ya Shirika la Reli Tanzania (TRC). |
Baadhi ya wataalam wa TRC wakifurahiya jambo ndani ya behewa jipya litakalotumika katika Reli ya Kisasa (SGR). |
Muonekano wa mabehewa 14 yatakayotumika katika Reli ya Kisasa (SGR) mara baada ya kupokelewa jijini Dar es Salaam. |
Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Bw. Masanja Kadogosa akifafanua jambo wakati wa hafla ya kupokea mabehewa 14 yatakayotumika katika Reli ya Kisasa (SGR). |
Balozi wa Korea Kusini nchini Tanzania, Bw. Kim Sun Pyo akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kupokea mabehewa 14 yatakayotumika katika Reli ya Kisasa (SGR). |
No comments:
Post a Comment