MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA MWANZA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 24 November 2022

MKUU WA MKOA WA MARA ATEMBELEA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA MWANZA

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Generali Suleiman Mzee, akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Generali Suleiman Mzee, akizungumza na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema, alipotembelea katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Rock City Mall jijini Mwanza.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Meja Generali Suleiman Mzee, akioneshwa mifumo ya malipo na Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Bi. Dionisia Mjema, alipotembelea katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Rock City Mall, jijini Mwanza.

 

No comments:

Post a Comment