MWENYEKITI WA CCM NA RAIS SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO WA 10 WA UWT DODOMA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 28 November 2022

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO WA 10 WA UWT DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, wageni mbalimbali pamoja Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kabla ya kufungua Mkutano wa 10 wa Jumuiya hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Novemba, 2022.

Sehemu ya Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakiwa kwenye Mkutano wa 10 wa Jumuiya hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakiwa kwenye Mkutano wa 10 wa Jumuiya hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Viongozi mbalimbali wa Chama pamoja na Wanachama wakiimba nyimbo za CCM mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kufungua Mkutano wa 10 wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) tarehe 28 Novemba, 2022.

No comments:

Post a Comment