ZIARA YA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN WILAYANI KYELA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 7 August 2022

ZIARA YA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN WILAYANI KYELA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kyela kwenye  Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale Wilayani Kyela Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.

Viongozi na wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza Kyela kwenye  Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale Wilayani Kyela Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2022.



No comments:

Post a Comment