ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA MAKETE MKOANI NJOMBE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 9 August 2022

ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA MAKETE MKOANI NJOMBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Barabara ya Njombe - Makete KM107.4 Mkoani Njombe mara baada ya kuifungua rasmi Barabara hiyo tarehe 09 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Barabara ya Njombe - Makete km107.4 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami. Hafla ya ufunguzi imefanyika Makete Mkoani Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.

Muonekano wa barabara ya Njombe - Makete km107.4 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha Lami.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza  na Wananchi wa Njombe mjini baada ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwagilia maji Mti aina ya Mkaratusi  maara baada ya kuupanda mbele ya Jengo la Huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Njombe tarehe 09 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment