Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Davidi Silinde Agosti 9, 2022 wamekitembelea Kijiji cha Kiboliani, Mpwapwa kutatua changamoto mbalimbali zinazokikabili, ikiwemo uhaba wa vyumba vya madarasa, vyoo, nyumba za walimu, umeme, zahanati na barabara.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwawa, Mwalimu Josephat Mganga akitoa maelezo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Senyamule na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), David Silinde kuhusu changamoto mbalimbali zinaoikabili shule ya msingi Kiboliani.
Silinde akiahidi kutatua baadhi ya changamoto za shule hiyo ikiwemo kuongeza vyumba vya madarasa, nyumba ya walimu na walimu pia.

No comments:
Post a Comment